
YANGA KAMILI KUIVAA NAMUNGO
KWENYE mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Majaliwa, Namungo ilipoteza pointi tatu mazima hivyo leo ina kazi nyingine ya kujiuliza mbele ya Yanga. Aziz KI kiungo mshambuliaji wa Yanga ambaye ni mtaalamu kwenye mapigo huru alikuwa sababu kwenye bao la kwanza lililowavuruga Namungo. Pigo lake la faulo akiwa nje kidogo ya 18 lilimshinda…