
MO APANDA KWENYE CHATI ZA MABILIONEA
MWEKEZAJI katika Klabu ya Simba, bilionea na mfanyabiashara maarufu Tanzania na Afrika kwa ujumla, Mohammed Dewji, anazidi kupaa kwa utajiri duniani baada ya hivi karibuni Jarida la Fobes kutoa orodha ya mabilionea 19 Afrika. Katika orodha hiyo iliyotoka Januari 30, 2023, Mo Dewji ambaye ni Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba, ameshika nafasi ya…