
SIMBA YAOMBA RADHI KWA MATOKEO MABOVU
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kwa kilichotokea Februari 18, haikuwa malengo yao hivyo wanaomba radhi kwa mashabiki na Watanzania kiujumla. Timu hiyo inayowakilisha Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 0 -3 Raja Casablanca mbele ya mashabiki wao wakutosha. Meneja wa Idara ya…