
YANGA YAWEKA REKODI MATATA IKIWATUNGUA NAMUNGO
YANGA imesepa na pointi tatu mazima mbele ya Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Yanga 2-0 Namungo FC. Kila kipindi Yanga walitupia bao moja dakika ya 43 ni Dickson Job na kipindi cha pili ni Aziz KI alitupia bao kwenye mchezo huo. Ilikuwa…