


CHELSEA VS MAN CITY… UBABE UBABE TU
VITA kali leo Alhamisi itakuwa pale darajani ambapo miamba miwili ya soka itavaana kila mmoja akiwa na machungu yake baada ya kuanza mwaka vibaya. Huu utakuwa ni mchezo wa Premier League kati ya Chelsea na Manchester City ambao walianza mwaka 2023 kwa kupoteza pointi mbili kila mmoja ndani ya ligi hiyo. Mchezo utapigwa katika Uwanja…

SIMBA V PRISONS… HAPPY NEW YEAR 2023, ASANTE 2022
HAPPY New year 2023 na asante 2022, ilikuwa ni kazi iliyofanyika kwa vitendo ndani ya Uwanja wa Mkapa, Dar, uliosoma Simba 7-1 Tanzania Prisons, juzi Ijumaa ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Hapa Spoti Xtra linakuletea baadhi ya kazi nzito zilizofanywa na wachezaji kwenye msako wa pointi tatu. AISHI MANULA Ilikuwa ni funga mwaka…

MUDATHIR ATANGAZA HALI YA HATARI YANGA
MARA baada ya kutambulishwa Yanga, kiungo mkabaji, Mudathir Yahya, amesema malengo yake ya kwanza ni kupambania namba ili aingie katika kikosi cha kwanza. Kiungo huyo ni mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Yanga katika dirisha hili dogo la usajili lililofunguliwa Desemba 16, 2022 na kutarajiwa kufungwa Januari 15, 2023. Mudathir ana kibarua kigumu cha kuwania namba…

MBRAZIL AIFUMUA SIMBA, AWAWEKA MTEGONI MASTAA
KOCHA Mkuu mpya wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ raia wa Brazil, amewaweka mtegoni mastaa wa kikosi hicho, baada ya kuweka wazi kwamba, mkakati wake wa kwanza ni kumpa nafasi kila mmoja kuonesha uwezo wake, ili kuwafahamu nyota wote na kuandaa kikosi cha kwanza. Juzi Jumanne, Robertinho alitangazwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Simba akichukua nafasi…

BOSI SIMBA AMKATAA BOBOSI KISA YANGA
MENEJA wa Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amefunguka na kusema kuwa katika dirisha hili dogo la usajili hawana mpango wa kumsajili aliyekua kiungo wa Klabu ya Vipers, Bobosi Byaruhanga. Akizungumza na Spoti Xtra, Ally alifunguka: ” Tunatarajia kuongea nguvu katika eneo la kiungo mkabaji ambaye atatusaidia kutimiza malengo yetu msimu huu. “Hatuwezi kumsajili Bobosi…

MASTAA YANGA WAPEWA MAAGIZO NA NABI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amewapa maagizo mazito wachezaji wa timu hiyo ikiwa ni pamoja na Fiston Mayele, Aziz KI, Khalid Aucho na Dickson Job wakati huu wa mapumziko. Nyota hao ni miongoni mwa wale ambao watakosekana kwenye Kombe la Mapinduzi 2023 visiwani Zanzibar. Meneja wa Yanga,Walter Harrison amesema kuwa wachezaji wote wapo tayari…

KAZI IMEANZA, MBRAZIL AIFUMUA SIMBA, NABI ATOA MAJUKUMU MAPYA
KAZI imeanza, Mbrazil aifumua Simba, Nabi ampa kazi maalumu kiungo mpya Yanga ndani ya Spoti Xtra Alhamisi

YANGA WAKIWASHA KOMBE LA MAPINDUZI USIKU KABISA
WAKATI watani zao wa jadi Simba wakifungua mwaka 2023 kwa kunyooshwa na Mlandege kwenye Kombe la Mapinduzi, Yanga wao wameanza kwa ushindi. Katika mchezo wa ufunguzi dhidi ya KMKM uliochezwa Uwanja wa Amaan ubao uligoma kubadilika katika dakika 90 za kawaida. Ilibidi Yanga wasubiri mpaka dakika ya 90+5 na kupata bao la ushindi kupitia kwa…

SLOTI YA EXPANSE KASINO NA MERIDIANBET USHINDI MKONONI MWAKO!!
Mwezi Januari ni maarufu sana kuwa ni mwezi dume, una mambo mengi mara ulipe ada, unadaiwa kodi ya nyumba, biashara yako imeyumba, huna mtaji usiwaze mtu wangu wa nguvu, huu hapa mchongo wa kulainisha Januari yako kutoka Meridianbet ambao wana Sloti bomba kwa ajili yako. Meridianbet wanaelewa ugumu uliopo kwenye mwezi huu dume na…

SIMBA KWENYE KIBARUA KINGINE MAPINDUZI CUP
BAADA ya kupoteza mchezo wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi 2023 mbele ya Kocha wa mpira, Roberto Oliviera kikosi cha Simba kina kazi nyingine ya kusaka ushindi kesho, Uwanja wa Amaan. Simba imevuliwa ubingwa kwa kutunguliwa bao 1-0 dhidi ya Mlandege kutokana na makosa ya safu ya ulinzi pamoja na ile ya ushambuliaji. Mpango mzuri…

KIUNGO WA KAZI AONGEZA MKATABA YANGA
KIUNGO wa Yanga Khalid Aucho ameongeza mkataba wa miaka miwili kusalia ndani ya kikosi hicho. Anakuwa mchezaji wa pili kuongeza dili mpaka 2025 ndani ya Yanga. Alianza kutangazwa Djigui Diarra kipa namba moja wa Yanga ambaye aliongeza mkataba katika kikosi hicho na kutangazwa Januari 2. Nyota huyo ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Nasreddine…

2022 IMEGOTA UKINGONI,2023 IWE YEYE FURAHA
TAYARI mwaka 2022 umemalizika na tumeingia mwaka 2023, kulikuwa na matukio mengi kwenye dunia ya soka mazuri na mabaya ambayo kwa kiasi kikubwa yaliibua mijadala mikubwa kwa wanafamilia wa mpira wa miguu nchini. Natarajia kuona mabadiliko makubwa kwenye soka letu katika nyanja zote kuanzia utawala, uendeshaji pamoja na utendaji ili tuendelee kuona soka letu likipiga…

YANGA KAMILI KUIKABILI KMKM
MCHEZO wa kwanza ndani ya 2023 Yanga itashuka Uwanja wa Amaan leo dhidi ya KMKM saa 2:15 usiku. Ni Katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi 2023 huku kocha msaidizi wa Yanga, Cedrick Kaze akibainisha kwamba wapo tayari kwa ajili ya ushindani. Kaze amesema kuwa wanatambua ushindani ambao upo kwenye mashindano hayo kutokana na timu kujipanga….

MAPINDUZI YAFANYIKE MAPINDUZI YA KWELI
WAKATI mwingine kwa sasa kwenye Kombe la Mapinduzi 2023 ambapo kila timu shiriki inafanya kazi kubwa kwenye kusaka ushindi. Hakuna ambaye hapendi kupata matokeo mazuri kwenye mchezo ambao atacheza hivyo kwa sasa ni muhimu kupata ushindi. Ukweli ni kwamba wachezaji wamepata nafasi kwenye mashindano haya ambayo ni ya heshima na kila mmoja ana kazi ya…

SIMBA YATAJA SABABU YA KUTUNGULIWA NA MLANDEGE
GADIEL Michael, nahodha wa Simba kwenye kikosi kinachoshiriki Kombe la Mapinduzi ameweka wazi kuwa sababu zilizofanya wakapoteza mchezo wa kwanza ni kushindwa kutumia nafasi. Ikiwa Uwanja wa Amaan, ilishuhudia ubao ukisoma Simba 0-1 Mlandege baada ya dakika 90 kukamilika. Ikumbukwe kwama Simba walikuwa ni mabingwa watetezi wamemaliza mwendo katika hatua hiyo wakianza kutunguliwa mchezo wao…

PICHA MPYA ZA MUDATHIR YAHYA AKIWA NA UZI WA YANGA
PICHA mpya za nyota wa Yanga Mudhathir Yahya akiwa na uzi wa Yanga. Muda anaibuka ndani ya Yanga kwa dili la miaka miwili.