
SINGIDA BIG STARS NGOMA NZITO NA COASTAL UNION
MPANGO kazi wa Kocha Mkuu wa Singaida Big Stars, Hans Pluijm kusepa na pointi tatu dhidi ya Coastal Union ulikwama baada ya kuambulia pointi moja. Ikiwa ugenini baada ya dakika 90 Machi 12,2023 ubao wa Uwanja wa Mkwakwani ulisoma Coastal Union 1-1 Singida Big Stars. Ni mastaa wawili walipachika mabao kwenye mchezo huo ambapo kwa…