PASI Milioni shabiki wa Simba amebainisha kuwa kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii Uwanja wa Mkwakwani wakati ubao ukisoma Yanga 0-0 Simba pasi nyingi zilipigwa na Yanga ndani ya dakika 90.
Baada ya penalti ubao ulisoma Yanga 1-3 Simba jambo lililofanya taji la Ngao ya Jamii kuwa mali ya Simba 2022.
Ikumbukwe kwamba katika dakika 90 za awali Yanga walicheza kwa umakini na kupiga pasi nyingi lakini walikwama kutumia nafasi ambazo walizitengeneza ndani ya uwanja.
Tottenham Hotspur forward Dominic Solanke battles with Crystal Palace defender Maxence Lacroix during the English championship Premier League football match between Crystal Palace and Tottenham Hotspur on 27 October 2024 at Selhurst Park in London, England - Photo Ian Stephen / ProSportsImages / DPPI (Photo by IAN STEPHEN / ProSportsImages / DPPI via AFP)