WINGA TP MAZEMBE AIPENYEZEA YANGA SIRI ZA USHINDI

WINGA wa zamani wa Yanga na TP Mazembe, Chiko Ushindi Wakubanza, amesema kama Yanga watapambana zaidi na kucheza kwa moyo mmoja, basi watapata matokeo mazuri mbele ya TP Mazembe, huku akibainisha kwamba. Ushindi ambaye aliitumikia Yanga msimu uliopita kwa mkopo akitokea TP Mazembe, kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Don Bosco ya nchini DR Congo…

Read More

UMAKINI HAUKWEPI MUDA WA MAVUNO

MAVUNO yanaongeza tabasamu hasa kila kitu kinapokwenda sawa ila inapokuwa tofauti hakuna ambaye anapata furaha katika hilo. Wahusika ni wote kuanzia mabingwa wa ligi ambao ni Yanga nao wana jukumu la kuongeza umakini kwenye usajili pamoja na maandalizi ya msimu ujao. Singida Fountain Gate nao inawahusu bila kuwasahau Namungo mpaka Geita Gold. Maisha mapya ndani…

Read More

TEPSI NDANI YA STARS, KIM ATOA NENO

TEPSI Evance, kiungo wa Klabu ya Azam FC amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambacho kimeanza maandalizi kwa ajili ya mchezo dhidi ya Uganda wa kuwania kufuzu CHAN unaotarajiwa kuchezwa Agosti 28,2022. Nyota huyo kwenye mechi mbili za ligi amefunga mabao mawili na kutoa pasi moja ya bao. Stars imeingia…

Read More

NEYMAR AREJEA, BRAZIL WAPETA

NEYMAR Jr amerejea kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Brazil na zali la ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Korea Kusini jambo ambalo limewaondolea hofu mashabiki wa timu hiyo ya taifa ambapo walikuwa wanadhani nyota huyo hatakuwa kwenye mechi zilizobaki baada ya kuumia. Ushindi huo unawafanya Brazil kutinga hatua ya Robo Fainali Kombe la…

Read More

MWAMBA WA MATUKIO AHOUA, KAZI IPO KWA MKAPA

KWENYE mchezo dhidi ya Pamba Jiji Novemba 22 2024 nyota wa Simba, Jean Ahoua anaingia kwenye orodha ya wachezaji waliopoteza pasi nyingi katika dakika 45 ambazo alicheza. Hajawa katika utulivu mchezaji wa matukio muhimu lakini katika ukabaji bado hajawa imara anapaswa kuongeza juhudi zaidi. Miongoni mwa dakika ambazo alipoteza pasi ilikuwa dakika ya 15, 16,…

Read More

BREAKING: MR OBJECTIVE SIMBA AFUNGASHIWA VIRAGO

RASMI Roberto Oliviera aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba amefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na timu hiyo pamoja na kocha wa viungo Corneille Hategekimana. Timu hiyo itakuwa chini ya Daniel Cadena akishirikiana na Seleman Matola. Mchezo wa mwisho kukaa benchi kwa kocha huyo ilikuwa ni Novemba 52023 Uwanja wa Mkapa. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma…

Read More

KISINDA AREJEA YANGA KWA MARA NYINGINE TENA

TUISILA Kisinda amerejea kwa mara nyingine ndani ya kikosi cha Yanga akitokea Klabu ya RS Berkane. Nyota huyo raia wa DR Congo anasifika kwa soka la spidi na kuwa mmoja ya viungo ambao wana kasi kubwa wawapo uwanjani. Anakumbukwa namna alivyokuwa akiwapa tabu wapinzani wake alipokuwa ndani ya Yanga ikiwa ni pamoja na kumsababisha penalti…

Read More

RUVU YAPANIA KUTIBUA REKODI YA YANGA KWA MKAPA

KUELEKEA mchezo wa leo dhidi ya Yanga, Ruvu Shooting wamefunguka kuwa watatibua rekodi ya Yanga ya kutofungwa kwenye mechi walizocheza kwa msimu huu.   Saa 12:15 leo Yanga wanatarajiwa kuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Ruvu Shooting mchezo ambao unasubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki na wapenda burudani. Kocha Msaidizi wa Ruvu Shooting,Rajab…

Read More

SIMBA YAITISHA AL AHY

ZIKIWA zimesalia takribani siku nane kabla ya Simba hijacheza dhidi ya Al Ahly katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya African Football League, uongozi wa timu hiyo umesema watawaonesha wapinzani wao kwamba Simba ni timu ya aina gani. Mhezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba 20, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kisha marudiano Oktoba 24,…

Read More

SHINDA MKWANJA KUPITIA LIGI MBALIMBALI LEO

Kupitia ligi mbalimbali ambazo zitakua zinachezwa leo zikiongozwa na ile ligi pendwa duniani pale nchini Uingereza kutakua na michezo ya kutosha ambayo itatoa fursa kubwa ya kupiga mkwanja kupitia Meridianbet leo. Licha ya kuweza kubashiri na kupiga mkwanja lakini pia Meridianbet wanakupa fursa ya mkeka wako mapema kupitia chaguo la Early payout, Bashiri michezo mbalimbali…

Read More