
HAWA HAPA MASTAA WA SIMBA WAANDALIWA KUIKABILI YANGA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wachezaji wote waliopo kwenye kikosi hicho ikiwa ni pamoja na Moses Phiri, Clatous Chama, John Bocco, Kibu Dennis wanaandaliwa kwa ajili ya kupata ushindi dhidi ya Yanga. Simba inatarajiwa kumenyana na Yanga kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano…