
SOPU KUIBUKIA TANGA, MKWAKWANI
NYOTA wa Azam FC, Abdul Suleiman Sopu anatarajiwa kurejea kwa mara nyingine tena ndani ya Tanga, Uwanja wa Mkwakwani kupambania uzi wa timu yake dhidi ya Yanga. Sopu aliibuka ndani ya Azam FC akitokea Coastal Union na kwa sasa yupo zake ndani ya Azam FC akipambania majukumu yake. Azam FC itapambana na Yanga kwenye mchezo…