
AZAM MATIZI KAMA YOTE TUNISIA
KIKOSI cha Azam FC kinaendelea na mazoezi Tunisia ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa 2023/24. Timu hiyo ipo na wachezaji wake wapya ikiwa ni pamoja na Feisal Salum ambaye alikuwa ndani ya Yanga, Gubril Sillah ambaye ni kiungo. Sillah amesema kuwa ni furaha kuwa na timu hiyo na anaamini watafanya kazi kubwa msimu ujao….