
VIGOGO WA KARIAKOO WAMEDUWAZWA MJINI
UONGOZI wa Dodoma Jiji umeweka wazi kuwa umetibua mipango ya vigogo wa Kariakoo ikiwa ni pamoja na Simba na Yanga zilizokuwa zinaiwinda saini ya Mtenje Albano. Vigogo hao wameduwazwa kwa kushuhudia saini ya nyota Albano ikiwa ndani ya Dodoma Jiji kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2023/24. Rasmi ni mchezaji halali wa Dodoma…