
SAMATTA KWENYE CHANGAMOTO MPYA
MSHAMBULIAJI Mbwana Samatta ambaye akipata nafasi ya kuitwa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars hupewa kitambaa cha unahodha ameweka wazi kuwa ana furahi kuanza kupata changamoto mpya. Nyota huyo atakuwa ndani ya Paok kwa ajili ya kupata changamoto mpya ndani ya msimu wa 2023/24. “Hello Paok ninafurahi kuwa hapa nina amini kwamba tutafanya kazi…