
HADITHI YA SIMBA KILA WAKATI ROBO FAINALI NDEFU,IFIKE MWISHO
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga za kimataifa Simba mbio zao zimegote hatua ya robo fainali baada ya kufungashiwa virago na mabingwa watetezi Wydad Casablanca. Wakati yakitokea kwa Simba kufungashiwa virago watani zao wa jadi Yanga wametinga hatua ya nusu fainali dhidi ya Rivers United kutoka Nigeria. Hakika moja ya mechi mbili zilizokuwa na ushindani mkubwa…