
MOBETTO NA AZIZ KI WATANGAZA SIKU YA NDOA YAO
Kiungo mshambuliaji wa Timu ya Mpira wa miguu ya Yanga ya Dar es Salaam, Stephane Aziz Ki, pamoja na mwanamitindo, muigizaji, na msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Hamisa Mobetto, hatimaye wameweka hadharani tarehe ya ndoa yao, ambayo wameiita MissaKi2025. Mtangazaji maarufu na mmiliki wa Zamaradi TV, Zamaradi Mketema, leo Februari 10, 2025…