INJINIA HERSI ATOA AHADI NZITO
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said, amewataka mashabiki wa timu hiyo kujivunia timu yao, huku akitamka kuwa upo uwezekano mkubwa wa kupata ushindi wa mabao zaidi ya matano msimu huu watakapokutana tena na Simba. Jeuri hiyo imekuja baada ya wikiendi iliyopita, Yanga kufanikiwa kuifunga Simba mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye…