


HUYU HAPA ‘MCHAWI’WA SIMBA
ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa miongoni mwa sababu zilizofanya wakagotea nafasi ya pili ni kuwa na wachezaji ambao hawapo fiti muda wote. Miongoni mwa wachezaji ambao msimu wa 2022/23 ndani ya kikosi cha Simba walikuwa wanapambania hali zao ni pamoja na kiungo Peter Banda, Agustino Okra, Moses Phiri na Aishi Manula. Simba…

YANGA WABABE HAO FAINALI KIMATAIFA
NGOMA imesoma Gallants Marumo 1-2 Yanga ukiwa ni mchezo wa hatua ya nusu fainali ya pili Kombe la Shirikisho Afrika. Kazi kubwa imefanywa na wachezaji wote wa Yanga wakiongozwa na Nasreddine Nabi ambaye ni Kocha Mkuu. Ni Fiston Mayele alianza kupachika bao la kuongoza kwa Yanga dakika ya 44 kisha ngoma ikapachikwa na Kenned Musonda…

AZAM FC YAIVUTIA KASI COASTAL UNION
AZAM FC chini ya Kali Ongala imeanza maandalizi kuelekea mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara. Timu hiyo itakuwa ugenini dhidi ya Coastal Union, utakaochezwa Uwanja Mkwakwani, Tanga, Mei 24 mwaka huu saa 10.00 jioni. Azam FC mchezo wake uliopita ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Azam Complex ukisoma Azam FC 1-2 Namungo FC. Kocha Mkuu…

BOCCO NGOMA BADO NZITO
NAHODHA wa Simba, John Bocco ndani ya Ligi Kuu Bara ngoma bado ni nzito kwenye upande wa kucheka na nyavu. Kinara wa utupiaji ni Fiston Mayele wa Yanga mwenye mabao 16 na pasi mbili za mabao. Nahodha huyo mzawa ambaye ni mfungaji bora wa muda wote akiwa amefunga mabao zaidi ya 100 msimu huu kagotea…

GALLANTS MARUMO 0-1 YANGA KIMATAIFA
IKIWA ugenini Klabu ya Yanga imeendeleza ubabe ndani ya dakika 45 za mwanzo. Ubao unasoma Marumo Gallants 0-1 Yanga mtupiaji ni Fiston Mayele. Mayele kapachika bao hilo dakika ya 44 baada ya kuwazidi ujanja mabeki wa Gallants ambao walikuwa wanakwenda kufanya shambulizi. Mlima mzito kwa Gallants kupindua meza wakiwa nyumbani wanadaiwa mabao matatu kuweka usawa…

JESHI LA YANGA DHIDI YA MARUMO AFRIKA KUSINI
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema mabadiliko katika kikosi cha kwanza dhidi ya Marumo Gallants ni muhimu kwa ajili ya kupata ushindi. Ni Mudhathir Yahya na Kennedy Musonda wameingia kikosi cha kwanza na walikosekana katika kikosi cha kwanza kilichoanza Uwanja wa Mkapa. Nabi Leo ameanza namna hii:- Diarra Djigui Dickson Job Kibwana Shomari Bacca…

KAPOMBE BADO HAJAPATA MBADALA WAKE SIMBA
SHOMARI Kapombe beki wa kazi ndani ya kikosi cha Simba ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Roberto Oliveira. Pasi yake ya sita kwenye ligi ilikuwa dhidi ya watani wa jadi, Yanga Uwanja wa Mkapa. Kwenye mchezo huo baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 2-0 Yanga. Ikiwa hatakuwa fiti hapo ni pasua kichwa kwa…

NABI AFURAHIA MASHABIKI WA MARUMO
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema wanapenda kucheza na mashabiki hivyo jambo ambalo wapinzani wao wamefanya ni zuri. Leo Yanga inatarajiwa kutupa kete kwenye mchezo wa nusu fainali ya pili dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini ambao watakuwa nyumbani. Kwenye mchezo wa leo wapinzani wao wamefuta kiingilio wakihitaji kuwa na mashabiki wengi ili…

WAKALI WA PASI ZA MWISHO BONGO HAWA HAPA
KWENYE mitupio ya mabao ambao hutazamwa kwa ukaribu yule mtu wa mwisho kutokana na kazi anayofanya ndani ya uwanja katika kutupia. Ipo wazi kwamba mabingwa wa ligi msimu wa 2022/23 ni Yanga ambao wametwaa ubingwa huo wakiwa na pointi 74. Yanga ina mechi mbili mkononi za kukamilisha mzunguko wa pili. Haitokei bahati mbaya ngoma ikazama…

YANGA KAZI BADO HAIJAGOTA MWISHO
USIOGOPE Â kukabiliana na magumu kwa kuwa yanakukomaza uwe imara zaidi hivyo itakuwa hivyo kwa wawakilishi wa Tanzania Yanga kwenye anga la kimataifa. Ushindi wa mchezo wa kwanza haina maana kwamba kazi imegota mwisho bado kuna safari nyingine kukamilisha mwendo wa kuifuata fainali. Nyumbani ilikuwa furaha kwa kuwa kila mmoja aliona namna wachezaji walivyocheza kwa kujituma…

NABI KUWASHANGAZA MARUMO, HAWA HAPA KUKOSEKANA
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amepanga kuwashangaza wapinzani wake Marumo Gallants kutokana na mpango kazi atakaotumia kwenye mchezo huo kuwa tofauti na ule wa awali. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Yanga 2-0 Gallants na mabao yakifungwa na Aziz KI na Bernard Morrison. Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe amesema kuwa kutakuwa…

BANDA KAJENGA KIBANDA NDANI YA MSIMBAZI
KIUNGO wa Simba Peter Banda ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23 amejenga kibanda chake mwenyewe kwa kushindwa kuonyesha makeke yake ndani ya uwanja. Moja ya sababu kubwa iliyofanya awe nje ya uwanja kwa muda mrefu ni kupambania hali yake kutokana na kutokuwa fiti kwa muda mrefu. Banda hana uhakika wa kuanza kikosi cha…

WAMEKWISHA, WACHEZAJI YANGA WAFANYA KIKAO, ROB ATAJA ‘MCHAWI’
WAMEKWISHA, wachezaji Yanga wafanya kikao kizito,Robertinho avunja ukimya Simba, amtaja ‘mchawi’ ndani ya Championi Jumatano

HIKI NDICHO WANACHOKITAKA SIMBA
NAHODHA wa Simba John Bocco, amesema kuwa kwa sasa wanatafuta heshima pekee ya kukamilisha ligi na ushindi kwenye mechi zote mbili zilizobakia ili kurejesha furaha kwa mashabiki wao. Tayari mabingwa wa ligi ni Yanga wanaonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi raia wa Tunisia wakiwa na pointi 74. Ijumaa iliyopita Simba iliishusha rasmi Ruvu Shooting kwa…

HONGERENI YANGA, KAZI BADO HAIJAGOTA MWISHO
YALE ambayo yalipangwa kwa kila mmoja kwenye msimu wa 2022/23 taratibu wengine wameshakamilisha na wengine bado wanasubiri mpaka mwisho. Ruvu Shooting ni mwendo wameumaliza kwenye mechi za ligi baada ya kushuka ndani ya ligi na sasa wanaibukia Championship. Wale ambao wamekwama kufikia malengo yao wakiwa wanasubiria mechi mbili za mwisho ni lazima wapambane kufikia malengo…

SABABU KICHAPO AZAM FC IPO HIVI
KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Kali Ongala amesema kuwa Namungo walistahili kupata ushindi kwenye mchezo wao kutokana na wachezaji wake kucheza chini ya kiwango. Mei 14 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Azam FC 1-2 Namungo ambao walitupia kimiani kupitia Hassan Kabunda na Shiza Kichuya huku mchezaji wa Namungo Paterne Counou akijifunga. Azam FC…