
MAJEMBE MAWILI YA KAZI NDANI YA AZAM FC
MASTAA wawili wametambulishwa ndani ya Azam FC kwa ajili ya msimu wa 2023/24 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Tayari 2022/23 imegota mwisho huku mabingwa wakiwa ni Yanga waliotwaa taji hilo chini ya Nasreddine Nabi. Yanga kwa sasa inaendelea na maboresho ya timu kupambana na wapinzani wao msimu ujao ikiwa ni pamoja na Azam FC ambao…