
TFF YATOA UFAFANUZI WA MADAI YA YANGA SC KUHUSU MALIPO YA ZAWADI YA UBINGWA WA KOMBE LA SHIRIKISHO
Shirikisho la soka Tanzania (TFF) imetoa ufafanuzi kuhusu Madai ya klabu ya Yanga Sc kuhusu kutolipwa zawadi ya ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB ya Tsh milioni mia mbili (200,000,000) kubainisha kuwa TFF ndiyo inayoidai klabu hiyo ikiwemo malipo ya ada za wachezaji wa kigeni. Taarifa ya leo Juni 10, 2025 ilitolewa…