
SIMBA KUREJEA KAMBINI JUNI 16 KWA MAANDALIZI YA MECHI DHIDI YA KENGOLD
SIMBA SC wanatarajiwa kurejea kambini leo Juni 16 2025 kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa ligi dhidi ya KenGold utakaochezwa Juni 18. Ikumbukwe kwamba Simba SC walikuwa kwenye maandalizi ya mchezo wa Kariakoo Dabi ambao ulitarajiwa kuchezwa Juni 15 2025 na walipewa ruhusua kufanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Mkapa, Juni 14 2025. Ngoma…