
YANGA SC IMEKIMBIZA DAKIKA 2,520 LIGI KUU BARA
BAADA ya kucheza mechi 28 ambazo ni dakika 2,520 safu ya ushambuliaji ya Yanga SC imefunga mabao 76 na kukusanya pointi 76 ikiwa namba moja kwenye msimamo na timu iliyofunga mabao mengi. Kwenye mchezo wake wa raundi ya 29 dhidi ya Tanzania Prisons, Yanga SC ilikomba pointi tatu mazima kwa ushindi wa jumla ya mabao…