
YANGA SC 2-0 SIMBA SC, BINGWA MBELE YA MNYAMA
KARIAKOO Dabi dakika 90 zimekamilika kwa ubao kusoma Yanga SC 2-0 Simba SC. Ubingwa ukiwa mali ya Yanga SC. Clement Mzize ambaye alianzia benchi kwenye mchezo wa leo amefanya kazi kubwa kipindi cha pili alipoingia kuchukua nafasi ya Prince Dube. Mabao ya Yanga SC yamefungwa na Pacome dakika ya 66 kwa mkwaju wa penati na…