
MAMILIONI YANAKUSUBIRI MASHINDANO YA ENDORPHINA
Habari njema kabisa kwa wateja ambao wanashiriki michezo ya Kasino ya mtandaoni imefika leo. Ni mashindano ya Endorphina ambayo yanakupa nafasi ya kipekee ya kushinda mamilioni ya pesa yaani namaanisha kuanzia Milioni 20. Jiunge na Meridianbet utusue kibabe. Mashindano haya ya Endorphina yameanza toka jana tarehe 12 na mwisho wake utakuwa ni tarehe 22 Juni…