
MPANGO WA RATIBA UHESHIMIWE, MALALAMIKO INATOSHA
MPANGILIO wa ratiba ambayo inapangwa na Bodi ya Ligi Tanzania umekuwa ukienda kwa kasi kutokana na mashindano ambayo yapo. Tunaona mzunguko wa tatu umekwenda kwa umakini na kilatimu kukamilisha majukumu yake. Ni mzunguko wa nne sasa huku kila timu ikipambana na hali yake. Jambo la msingi kwa wachezaji na benchi la ufundi kuwa tayari kwa…