
HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA, AZIZ KI AANZIA BENCHI
MIGUEL Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga ikiwa ni kete yake ya kwanza katika mchezo wa Ngao ya Jamii hatua ya nusu fainali ya kwanza. Kikosi cha kwanza kwa Yanga kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkwakwani Tanga ni pamoja na Diarra, Yao, Lomalisa, Mwamnyeto ambaye ni nahodha. Pia yupo Bacca, Aucho, Max, Mudhathir, Musonda, Farid…