
SIMBA UNYAMA NI MWINGI MPAKA UNAMWAGIKA
“HISTORIA mpya imeandikwa kwa tiketi zote kununuliwa siku tatu kabla ya SIMBA DAY. Shukrani kwa mashabiki wote ambao wamenunua tiketi.” Hii ni taarifa fupi ambayo ilitolewa na Simba Alhamisi kuelekea kilele cha tamasha lao kubwa Agosti 6 2023. Yamebaki masaa tu, kabla ya tukio hilo kubwa na la kihistoria ambapo uongozi wa Simba umebainisha kuwa…