
MASTAA HAWA WAMEONGEZEWA MAKALI KUIMALIZA YANGA
WAKIWA wanajiandaa kuikabili Yanga mchezo wa Ngao ya Jamii nusu fainali, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga mastaa wa Azam FC, Prince Dube na Abdul Suleiman, ‘Sopu’ wameongezewa makali kumtungua Dijigui Diarra. Azam FC ilikuwa Tunisia kwa kambi ya muda kuelekea msimu wa 2023/24 na tayari wamerejea Dar na kuanza maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wao dhidi…