Home Sports HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA, AZIZ KI AANZIA BENCHI

HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA, AZIZ KI AANZIA BENCHI

MIGUEL Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga ikiwa ni kete yake ya kwanza katika mchezo wa Ngao ya Jamii hatua ya nusu fainali ya kwanza.

Kikosi cha kwanza kwa Yanga kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkwakwani Tanga ni pamoja na Diarra, Yao, Lomalisa, Mwamnyeto ambaye ni nahodha.

Pia yupo Bacca, Aucho, Max, Mudhathir, Musonda, Farid na Skudu.

Ni Aziz Ki huyu kiungo ameanza benchi Sawa na Metacha Mnata ambaye ni kipa na wengine ni Kibabage, Job, Mkude Jonas, Zawadi Mauya, Ngushi, Sure Boy na Mzize.

Previous articleHESABU ZA KOCHA SIMBA ZIPO NAMNA HII
Next articleYANGA 0-0 AZAM FC NUSU FAINALI NGAO YA JAMII