MIAMBA wawili ndani ya nusu fainali ya kwanza katika dakika 45 za mwanzo imetoshana nguvu mchezo wa Ngao ya Jamii.
Ubao wa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga unasoma Yanga 0-0 Azam FC.
Katika dakika 45 za mwanzo nguvu na faulo kwa timu zote za Yanga na Azam FC zimetoshana ambapo kila timu imecheza jumla ya faulo 9.
Kiungo wa Azam FC ambaye ni ingizo jipya hapo akitokea ndani ya Yanga ni nyota wa kwanza kuonyeshwa kadi ya njano kwenye mchezo huo baada ya kumchezea faulo Mudathir Yahya.
Wavre - 2026 FIH Hockey World Cup Belgium & Netherlands (W)
18 Argentina v Scotland (Pool B)
Picture: Victoria Miranda Player of Argentina battles for the ball
COPYRIGHT WORLDSPORTPICS / Rodrigo Jaramillo
No archive allowed