
KIPA SIMBA KWENYE MTEGO MKWAKWANI
ALLY Salim kipa namba mbili wa Simba ameingia kwenye mtego mwingine wa kudhihirisha ubora wake kama alibahatisha ama ulikuwa ni upepo alipokamilisha dakika 90 bila kutunguliwa na mastaa wa Yanga wakiongozwa na Fiston Mayele. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2022/23 Salim alikaa langoni kwenye Kariakoo Dabi na alishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa…