MUHIMU KULINDANA KWA WACHEZAJI HIVYO TU BASI

MUDA mrefu ambao wachezaji wameutumia kwenye maandalizi ya msimu mpya sasa unakwenda kuonyesha matokeo yake uwanjani. Ni Ngao ya Jamii inatarajiwa kufanyika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kwa timu nne kushiriki kuanzia hatua ya nusu fainali ya kwanza ambapo Yanga, Azam FC, Singida Fountain Gate na Simba hizi ni timu shiriki. Mchezo wa nusu fainali ya…

Read More

LEGEND MKUDE DAKIKA MOJA KAAGWA SIMBA

LEGEND Jonas Mkude ameaagwa na mabosi zake wa Simba kwa muda wa dakika moja baada ya kujiunga na Yanga. Mkude ni ingizo jipya ndani ya Yanga akiungana na viungo wengine ikiwa ni Aziz KI, Zawad Mauya ambao walikuwa katika kikosi cha Yanga kilichotwaa ubingwa msimu wa 2022/23. Ikumbukwe kwamba Mkude alidumu ndani ya Simba kwa…

Read More

WATANI WA JADI KUKIWASHA MAPEMA TU LIGI KUU BARA

LEO Agosti 7 Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia Afisa Mtendaji Mkuu, Almasi Kasongo, imetangaza ratiba ya msimu mpya wa 2023/24. Katika ratiba hiyo inayotarajiwa kuanza Agosti 15 2023 mchezo wa kwanza wa kufungua pazia utachezwa Uwanja wa Highland Estate, Mbeya. Ihefu wao watakuwa nyumbani wakiikaribisha Geita Gold inayonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Morocco….

Read More

MAPEMA KUMPA ZIGO LA MAYELE KONKONI YANGA

SASA ni rasmi Fiston Mayele hatakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kwa msimu wa 2023/24 baada ya kukamilisha dili lake la kujiunga na matajiri wa nchi ya Farao Pyramids ambao msimu huu watakuwa na kibarua kikubwa cha kulisaka taji la Ligi ya Mabingwa Afrika. Mayele amekuwa na misimu miwili bora akiwa na kikosi cha Yanga…

Read More

MASTAA HAWA WAMEONGEZEWA MAKALI KUIMALIZA YANGA

WAKIWA wanajiandaa kuikabili Yanga mchezo wa Ngao ya Jamii nusu fainali, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga mastaa wa Azam FC, Prince Dube na Abdul Suleiman, ‘Sopu’ wameongezewa makali kumtungua Dijigui Diarra. Azam FC ilikuwa Tunisia kwa kambi ya muda kuelekea msimu wa 2023/24 na tayari wamerejea Dar na kuanza maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wao dhidi…

Read More

ARSENAL WAMEANZA KWA KASI

WAMEANZA kwa kujiamini washika bunduki Arsenal mbele ya wapinzani wao Manchester City. Ni katika mchezo wa Ngao ya Jamii walifanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii kwa ushindi wa penalti 4-1. Kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa walitoshana nguvu kwa kifungana bao 1-1. Ilibaki kidogo wapishane na taji hilo kwani walisubiri hadi dakika ya 90+11 kusawazisha…

Read More

SIMBA YAANZA KWA USHINDI DHIDI YA POWER DYNAMO

KATIKA kilele cha Simba Day Agosti 6 2023 maelfu ya mashabiki waliojitokeza Uwanja wa Mkapa wameshuhudia burudani kutoka kwa mastaa wao waliotambulishwa. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Simba 2-0 Power Dynamo ukiwa ni mchezo wa kimataifa wa kirafiki. Mabao ya Simba yamefungwa na Willy Onana dakika ya nne na Fabrince Ngoma dakika ya 75…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE WAPANIA KUFANYA VIZURI

TIMU ya Singida Fountain Gate inayoshiriki ligi kuu Tanzania bara inaendelea na maadalizi kujiandaa na msimu ujao wa ligi kuu 2023/2024. Singida Fountain Gate iliweka kambi Arusha ilirejea Singida kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya tamasha la Singida Big Day. Tamasha la Singida Big Day lilifanyika Agosti 2 2023 na walitambulisha wachezaji wapya na…

Read More

AMANI ITAWALE KWENYE KILA ENEO SIMBA DAY

AMANI ni nkitu cha msingi kwenye kila idara ikiwa ni pamoja na familia ya michezo. Hivi karibuni kwenye matamasha pamoja na mechi za kimataifa tumeshuhudia vurugu. Utaratibu ambao umekuwa ukitumika, ni miongoni mwa sababu ya mashabiki kuwa sehemu ya vurugu hizo hasa wakati wa kuingia uwanjani. Kikubwa ambacho kinatakiwa kuelekea Simba Day, kuwepo mipango makini…

Read More

MASTAA HAWA WAMPA JEURI GAMONDI

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi raia wa Argentina anatajwa kuwa kwenye furaha kuwaona makipa watatu wakiwa kwenye uimara mazoezini. Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara kwenye upande wa makipa wapo watatu ikiwa ni Djigui Diarra raia wa Mali huyu ni kipa namba moja. Djigui ana tuzo ya kipa bora na yupo…

Read More

NGAO YA JAMII ANAPASUKA MTU LEO

LEO Jumapili kwenye Uwanja wa Wembley, Arsenal na Manchester City zinakutana kwenye mechi ya Ngao ya Jamii kuashiria kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu England. Huu ni mchezo wa 115 wa Ngao ya Jamii unacheza tangu michezo hii ilipoanza kuchezwa mwaka 1908. Mchezo wa Ngao ya Jamii huzikutanisha timu bingwa wa Kombe la FA…

Read More

NYOTA MPYA YANGA AJA NA UJUMBE HUU

HAFIZ Konkoni mshambuliaji mpya wa Yanga amesema kuwa yupo tayari kwa ajili ya msimu mpya wa 2023/24. Nyota huyo anatajwa kuwa mbadala wa mshambuliaji Fiston Mayele ambaye amesepa Yanga na kuelekea kupata changamoto mpya ndani ya Pyramids ya Misri. Mayele ameweka wazi kuwa anaamini wachezaji wapya ambao wapo ndani ya kikosi cha Yanga pamoja na…

Read More