HISTORIA IMEANDIKWA UDHAMINI WA NBC LIGI KUU BARA

HATIMAYE Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Benki ya NBC wametangaza kufanya maboresho ya mkataba wao wa udhamini wa Ligi Kuu Bara, kutoka udhamini wa awali wa miaka mitatu hadi mitano kuanzia msimu wa mwaka 2023/24 hadi mwaka 2027/2028. Ikumbukwe kuwa udhamini wa awali wa miaka mitatu ulikuwa wa thamani ya sh. Bilioni…

Read More

CAICEDO AIGOMEA LIVERPOOL, HUYO CHELSEA

DILI la staa wa Brighton FC Moises Caicedo kuibukia Liverpool linaweza kubuma licha ya asilimia 99 kuwa upande wao. Nyota huyo wa Brighton alikuwa katika mazungumzo na Liverpool ambao waliweka mkwanja mrefu mezani wa euro 110 milioni. Jurgen Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool aliweka wazi kuwa kila kitu kuhusu Caicedo kipo tayari ni jambo la…

Read More

MASHUJAA WAINGIA ANGA ZA SIMBA NA YANGA

KARIBU mgeni mwenyeji apone, ipo hivyo jambo ambalo wamekuja nalo Mashujaa FC kutoka Kigoma kwa kuingia anga za Simba na Yanga. Ikumbukwe kwamba Mashujaa FC ilipata nafasi ya kushiriki Ligi Kuu Bara baada ya kuifungashia virago Mbeya City kwenye mchezo wa mtoano hivyo Mbeya City itashiriki Championship msimu wa 2023/24. Ni Mashujaa Day timu hiyo…

Read More

YANGA WAMEANZA KUIVUTIA KASI FAINALI

BAADA ya kuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya fainali ya Ngao ya Jamii, kikosi cha Yanga kimeanza mazoezi kuelekea fainali. Dakika 90 Yanga ilikamilisha Agosti 9, 2023 kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga ukisoma Yanga 2-0 Azam FC. Mabao ya Yanga yalifungwa na Clement Mzize dakika ya 88 na Aziz KI dakika…

Read More

DODOMA JIJI HAWAPOI, WAJA NA MKWARA HUU

UONGOZI wa Dodoma Jiji umeanza kutamba mapema baada ya ratiba ya Ligi Kuu Bara kutangazwa huku wakitarajia kufungua pazia kwa kusaka pointi tatu dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Mabingwa wa ligi msimu wa 2022/23 ni Yanga waliokuwa wakinolewa na Nasreddine Nabi ambaye hatakuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24. Mbali na Nabi…

Read More

MPIRA SIO VITA MUHIMU KULINDANA WACHEZAJI

MASHABIKI furaha yao ni kuona wachezaji wakicheza kwa umakini na kuipa ushindi timu yao ambayo wanaishangilia. Ipo hivyo hata kwa benchi la ufundi pamoja na wachezaji wenyewe wanapokuwa ndani ya uwanja. Mashabiki wa Singida Fountain Gate wanapenda kuona timu ikipata matokeo mazuri hata wale wa Kagera Sugar nao pia wanapenda kupata matokeo mazuri. Miongoni mwa…

Read More

DABI NDANI YA TANGA, MKWAKWANI, YANGA V SIMBA

NI Kariakoo Dabi ndani ya Tanga inasubiriwa kwa shauku kutokana na kila mmoja kushinda kigingi cha kwanza cha nusu fainali. Katika nusu fainali ya pili dakika 90 zilikuwa ni ngumu kwa nyota wote katika kucheka na nyavu kati ya Simba dhidi ya Singida Fountain Gate. Ubao umesoma Simba 0-0 Singida Fountain Gate na kupeleka changamoto…

Read More

SIMBA 0-0 SINGIDA FOUNTAIN GATE

KIPA namba mbili wa Simba Ally Salim yupo langoni na ameshuhudia dakika 45 za mwanzolango likiwa salama. Ikiwa ni hatua ya nusu fainali ya pili Ngao ya Jamii Uwanja wa Mkwakwani Tanga. Ubao unasoma Simba 0-0 Singida Fountain Gate. Mshindi wa mchezo wa leo anakwenda kukutana na mshindi wa fainali ya kwanza iliyochezwa Agosti 9.

Read More

AZAM FC NI MASHUHUDA WA FAINALI TANGA

AZAM FC watakuwa mashuhuda wa fainali Agosti 13 katika mchezo wa Ngao ya Jamii baada ya kugotea hatua ya nusu fainali ya kwanza kwa kupoteza mbele ya Yanga. Licha ya kuanza kwa kasi Agosti 9 dhidi ya Yanga waliambulia maumivu kwa kupoteza mazima mchezo huo dhidi ya Yanga. Ikumbukwe kwamba Yanga ilitwaa taji ya Ngao…

Read More

NDONDO CUP KUNA SHIDA

UONGOZI wa Chama cha Soka Ubungo (UFA) umeweka wazi kuwa kumekuwa na changamoto ya viwanja katika uendeshaji wa mashindano ya Ndondo Cup ambayo yanaendelea jijini Dar. Shida hiyo ya viwanja inawafanya wachezaji kukwama kutoa ile burudani kwa mashabiki kwa kiwango cha juu kutokana na kuhofia kupata maumivu. Ikiwa ni muendelezo wa 32 Bora ambapo timu…

Read More