
NGAO YA JAMII ANAPASUKA MTU LEO
LEO Jumapili kwenye Uwanja wa Wembley, Arsenal na Manchester City zinakutana kwenye mechi ya Ngao ya Jamii kuashiria kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu England. Huu ni mchezo wa 115 wa Ngao ya Jamii unacheza tangu michezo hii ilipoanza kuchezwa mwaka 1908. Mchezo wa Ngao ya Jamii huzikutanisha timu bingwa wa Kombe la FA…