
NI USIKU MWINGINE WA KAZI KWA SIMBA
BAADA ya kumaliza mwendo kwenye kuwania Kombe la Azam Sports Federation sasa nguvu za Simba ni kwenye mechi za ligi. Ni usiku mwingine kwa kazi ya msako wa pointi tatu muhimu ndani ya ligi, Ruvu Shooting wanapambana kupata pointi tatu wacheza mchezo wa mtoano . Vinara wa ligi ni Yanga ambao wamekuwa kwenye mwendo mzuri…