
SINGIDA FOUNTAIN GATE KWENYE JAMBO LA WATANZANIA
UONGOZI wa Singida Fountain Gate umeweka wazi kuwa mchezo wao wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Future ya Misri unaotarajiwa kuchezwa leo Uwanja wa Azam Complex ni jambo la Watanzania. Timu hiyo inatupa kete yake saa 10 jioni huku mashabiki wakiombwa kujitokeza kwa wingi kuishangalia timu hiyo inayopeperusha bendera ya Tanzania kwenye anga…