
MANCHESTER UNITED IPO TAYARI KUSIKILIZA OFA KWA AJILI YA MARCUS RASHFORD
Manchester United ipo tayari kusikiliza ofa kwa ajili ya Marcus Rashford baada ya kuvunjika kwa uhusiano wa mshambuliaji huyo na Meneja Erik ten Hag huku PSG ikitajwa kuhitaji saini ya nyota huyo raia wa England. Kwa mujibu wa ripoti ilikuwa ni mmoja kati ya Rashford au Ten Hag ambaye alihusishwa kutimka klabuni hapo kutokana na…