
TAIFA STARS KAMILI KUWAKABILI NIGER
KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa Tanzania, Taifa Stars Adel Amrouche ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Niger. Stars itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi huo na imewasili salama Morocco kwa ajili ya mchezo huo kwa ndege iliyotolewa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu. Maandalizi yameanza…