AZAM FC KUPAMBANA DHIDI YA NAMUNGO
MATAJIRI wa Dar Azam FC leo Mei 3 2024 wanakibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa CRDB Federation dhidi ya Namungo FC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex ikiwa ni hatua ya robo fainali saa 2:300 usiku kwa wababe hao wawili kusaka ushindi kwa timu itakayotinga hatua ya nusu fainali. Tayari kwenye robo…