Mbappé Afunga Bao la 17, Real Madrid Yashinda 2-1 Alavés
Real Madrid imeendelea kuonyesha nguvu zake kwenye Laliga, baada ya kushinda 2-1 dhidi ya Deportivo Alavés katika mechi iliyofanyika leo. Huu ni ushindi muhimu ambao unasaidia Real Madrid kushikilia nafasi ya pili katika msimamo wa ligi, ikiwa alama nne nyuma ya vinara Barcelona. Kylian Mbappé amefunga bao lake la 17 msimu huu katika mechi yake…