
KAZI KUBWA IFANYIKE KWA KILA MMOJA
KAZI kubwa inafanyika kwa kila mmoja kuendelea na mapambano kusaka ushindi ndani ya uwanja. Muda ni sasa kuonyesha kwamba inawezekana kupata matokeo ugenini. Benchi la ufundi tunaamini kwamba walipata muda wa kutosha kuzungumza na wachezaji. Sio kuzungumza pekee maneno ya kirafiki bali maneno ya kazi kuendelea kwa kila mmoja kutimiza majukumu yake. Ukweli ni kwamba…