
AZAM FC KWENYE KIGINGI KINGINE TENA
MATAJIRI wa Dar, Azam FC ni bandika bandua ugenini kwenye msako wa pointi sita muhimu katika mechi za Ligi Kuu Bara. Kete ya kwanza ugenini kwa Azam FC ilikuwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma na kete ya pili ni Tanga dhidi ya Coastal Union, Oktoba 6 Uwanja wa Mkwakwani. Mchezo wa kwanza walitoshana nguvu kwa kugawana…