
HAKUNA UNYONGE JUMATANO HII LIGI YA MABINGWA ULAYA IMEREJEA MZIGO UPO WA KUTOSHA
MZIGO UPO WA KUTOSHA Kama ulifikiri wiki hii itapita kinyonge basi umekosea sana kwani ligi ya mabingwa ulaya imerejea wiki hii na inatoa fursa kwa wewe mteja wa Meridianbet, Kwakua itapigwa michezo mbalimbali leo katika viwanja tofauti tofauti barani ulaya. Michezo mbalimbali itakayopigwa leo ni wazi ni michezo mikali na yenye ushindani mkubwa, Huku ikiwa…