
HAWAAMINI MACHO YAO SIMBA KIMATAIFA
HAWAAMINI macho yao Power Dynamos wapinzani wa Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kushuhudia wakipokwa tonge mdomoni la kutinga hatua ya makundi. Kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Power Dynamos walianza kuwatungua Simba ndani ya dakika 20 za mwanzo kipindi cha pili mambo yalibadilika na kuruhusu nyavu zao kutikishwa. Dakika 90 zilikamilika…