
WANANCHI WATOA KIKOSI KUMKABILI MNYAMA
WANANCHI Yanga licha ya taarifa kueleza kuwa hakutakuwa na mchezo dhidi ya Simba, Uwanja wa Mkapa Machi 8 2025 wamefika uwanjani na kutoa kikosi kazi kitakachoikabili Simba kusaka pointi tatu muhimu. Kwenye kikosi hicho Aziz Ki ameanzia benchi na kiungo Clatous Chama huku ingizo jipya Ikangalombo naye akiwa benchi. Kikosi chenyewe kipo namna hii:- Djigui…