
ANAKOSEKANA MWAMBA HUYU MTAMBO WA MABAO YANGA
ANAKOSEKANA mtambo wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Miguel Gamondi
ANAKOSEKANA mtambo wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Miguel Gamondi
KIUNGO wa zamani wa Arsenal, Alex Song ameweka wazi kuwa wakati anajiunga na Barcelona sehemu ya mkataba uliandikwa kuwa hatokuwa na nafasi ya kucheza mara kwa mara lakini yeye hakujali hasa alipoona atalipwa mshahara mkubwa. Hivyo nyota huyo kwake kucheza haikuwa kipaumbele zaidi macho ilikuwa ni kwenye noti, mkwanja ambao alikwenda kuuvuna hap. Alex Song…
MRITHI wa mikoba ya Jean Baleke ndani ya kikosi cha Simba Micheal Fredy amekingiwa kifua na Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Ahmed Ally kuhusu uwezo wake kwenye upande wa kufunga mabao ndani ya kikosi hicho.
MWENDO wameumaliza DR Congo kwa kupoteza dhidi ya Ivory Coast ambao ni wenyeji wa AFCON 2023 kwa ushindi wa bao 1-0. Bao pekee la ushindi kwa Ivory Coast lilipachikwa kimiani na Sebastien Haller dakika ya 65 likadumu mpaka mwisho wa mchezo huo. Katika nusu fainali ya kwanza Nigeria walitangulia kutinga hatua ya fainali Kwa ushindi…
MABOSI wa Yanga wana matumaini makubwa na mshambuliaji wao mpya, Joseph Guede huku ukiamini kuwa nyota huyo atafaidika zaidi mara atakaporejea kiungo Mburkinabe, Stephen Aziz Ki. Kiungo huyo muda wowote kuanzia jana alitarajiwa kutua nchini kwa ajili ya kuuwahi mchezo wa ligi kuu dhidi ya Prisons Jumapili hii baada ya kuondolewa katika Fainali za Kombe…
SUPASTAA wa Bongo Fleva, Faustina Charles Mfinanga ‘Nandy’ ameachia wimbo wake mpya wa Dah! amemshilikisha Supastaa wa Bongo Fleva, Alikiba.
Kocha wa Ivory Coast Emerse Fae, alielezea ushindi wa timu yake kwenda hadi fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kuwa “kama ndoto” baada ya wenyeji hao wa michuano ya mwaka 2024 kuwalaza Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 1-0 katika mechi ya mchujo Jumatano. Sebastien Haller alifunga bao pekee la ushindi dakika ya 65 katika…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga ni kazi juu kazi ndani ya Ligi Kuu Bara kutokana na mechi zao kuwa bandika bandua. Ikumbukwe kwamba Yanga chini ya Miguel Gamondi ambaye ni kocha mkuu ina kazi ya kutetea taji la ligi baada ya kutwaa 2022/23. Inaendelea kupambania pointi tatu ndani ya ligi kwa Februari ilipofungulia…
NAIBU waziri wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo na Mbunge wa Muheza, Hamis Mohamed Mwinjuma maarufu Mwana FA leo Februari 7, 2024 amezindua wa Jengo la Yanga sc baada ya kufanyiwa ukarabati.
KAZI bado ipo ndani ya Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON) wababe watakuwa kusaka ushindi kutinga hatua ya fainali. Unaukumbuka mchezo wa robo fainali ile ya kipa shujaa wa Afrika Kusini kàtika mikwaju ya penalti? Ngoma itakuwa Nigeria dhidi ya Afrika Kusini halafu Ivory Coast wwnyeji dhidi ya DR Congo. Dr Congo kuna Henock…
Dkt Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo wa Roulette ambapo yeye binafsi alikuwa akifika kwenye jumba la kasino majokeri wenzake wanamkimbia kwa kuogopa kupunwa pesa zao. Jamaa alifariki akiwa na miaka 80 na kwa namna ya kipekee mchango wake kwenye ulimwengu wa michezo ya Kamari anakumbukwa. American Roulette sawa na michezo mingine ya Roulette unapatikana Meridianbet…
BADO hajawa fiti winga Agustino Okra Magic aliyewahi kucheza ndani ya Simba kabla ya kuibukia ndani ya kikosi cha Yanga msimu wa 2023/24. Ipo wazi kwamba Okra alipata maumivu kwenye mchezo wake wa kwanza kuvaa uzi wa Yanga katika mechi za ushindani ilikuwa Mapinduzi 2024, Zanzibar. Hakuwa sehemu ya kikosi kilichocheza mchezo wa kwanza ndani…
REKODI zinazidi kuandikwa kila leo ndani ya Ligi ya Wanawake Tanzania huku raundi ya 8 ikiwa ni ya kipekee kwenye upande wa mabao ya jumla kufungwa ambayo ni 16. Ikumbukwe kwamba raundi ya 7 yalikusanywa jumla ya mabao 12 huku ile raundi ya sita yakikusanywa jumla ya mabao 13. Rekodi hizo katika raundi mbili zote…
KUNA mechi alikuwa shujaa Moses Phiri ndani ya Simba lakini maisha ya mpira yana simulizi nyingi na hakuna good bye bali kuna wakati mwingine huenda akarejea kwa wakati mwingine mtambo huo wa mabao.
NYOTA Simon Msuva hatimaye ameanza kazi kwenye timu yake mpya baada ya kuachana na timu yake ya zamani. Ni Simon Msuva ambaye ni kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ameanza rasmi mazoezi na timu yake ya mpya ya Al Najmah ya Saudi Arabia. Kiungo huyo aliyekuwa anatajwa kurejea Yanga amesajiliwa kwenye…
AMETEMBEZA mkwara huu hapa mrithi wa mikoba ya Diarra, ndani ya kikosi cha Yanga