
MWAMBA WA LUSAKA CHAMA NA TAMKO HILI HAPA
MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama ameweka wazi kuwa wana kazi kubwa ya kufanya ili kupata matokeo kwenye mechi za kitaifa na kimataifa
MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama ameweka wazi kuwa wana kazi kubwa ya kufanya ili kupata matokeo kwenye mechi za kitaifa na kimataifa
AMEANDIKA Jembe Moja ya sifa ya mashabiki wa Simba ni utaratibu au upole… Lakini pia wana sifa ya ukorofi wanapochoka. Hili la kumkataa mwamuzi Kayoko si zuri katika mchezo wetu wa soka. Lakini tujiulize ni kwanini linatokea na kweli mwamuzi huyo amekuwa akikosea sana mechi zinazoihusu timu hiyo? Kayoko mwenyewe pia anaweza kujitafakari kwamba amekuwa…
MWAMBA Mudathir Yahya ameweka rekodi ya kuwa ni mkali wa kutibua mipango hiyo na kuipa timu hiyo pointi tatu mazima Uwanja wa Azam Complex. Ikumbukwe kwamba Yanga ilipata sare yake ya kwanza msimu wa 2023/23 Februari 2 ubao wa Uwanja wa Kaitaba uliposoma Kagera Sugar 0-0 Yanga ambapo wapinzani wao walitumia mbinu ya kujilinda zaidi….
Kampuni kubwa za ubashiri Tanzania Meridianbeti ikiwa na machaguo zaidi za 1000, imeendelea kurudisha kile kidogo wakipatacho kwenye jamii huku safari hii wakiwaangalia wakazi wa eneo la Mwenge hasa dereva bodaboda, bajaji na wasimamizi wa maegesho za magari. Je unajua ni kwanini meridianbet hurudisha kwenye jamii mara zote? Basi mimi nakumegea siri hii leo ni…
BAADA ya kuambulia sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Azam FC, mabosi wa Simba wamekuja na mpango kazi kwa ajili ya mechi znazofuata. Ipo wazi kuwa Februari 9 ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ulisoma Simba 1-1 Azam FC. Prince Dube alipachika bao dakika ya 14 huku Clatous Chama akifunga bao la kuweka usawa…
ADHABU kuwakuta Yanga ishu za ushirikina kwenye mechi zao za Ligi Kuu Bara hivi karibuni? Ishu ipo namna hii
UBAO wa Uwanja wa CCM Kirumba umesoma Simba 1-1 Azam FC na mwamuzi wa kati alikuwa ni Ramadhan Kayoko Ni Prince Dube alianza kufunga dakika ya 14 bao hilo likawekwa usawa na Clatous Chama dakika ya 90 kwa pigo la faulo. Wanagawana pointi mojamoja huku wakiachwa kwa pointi 7 na vinara Yanga wenye pointi 37…
Kutana na huu mchezo wa kasino mtandaoni kutoka Meridianbet unaitwa Regal Crown 100, kasino hii imetengenezwa na Amigo. Mchezo una majoka ambayo hujikusanya katika nguzo za malipo. Kupitia bonasi ya Pin Win, unaweza kushinda jackpot tatu za kuvutia. Regal Crown 100 ni mchezo wa kasino mtandaoni wenye nguzo tano zilizowekwa katika mistari minne na ina…
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa itafahamika kuhusu suala la wao kudaiwa kwamba walikuwa wanamkimbia mpinzani wao Azam FC kwenye mechi za Ligi Kuu Bara. Leo Februari 9 2024 Simba inatarajiwa kucheza mchezo wa ligi dhidi ya Azam FC, Uwanja wa CCM Kirumba ikiwa ni mchezo wa kiporo. Mchezo…
ANATENGENEZA pacha ya mabao ndani ya Yanga Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ili kupata mabao mengi zaidi kwenye mechi ambazo watacheza
REKODI zinazidi kuandikwa kila leo ndani ya Ligi ya Wanawake Tanzania huku raundi ya 8 ikiwa ni ya kipekee kwenye upande wa mabao ya jumla kufungwa ambayo ni 16. Ikumbukwe kwamba raundi ya 7 yalikusanywa jumla ya mabao 12 huku ile raundi ya sita yakikusanywa jumla ya mabao 13. Rekodi hizo katika raundi mbili zote…
KIUNGO wa kazi amerejea ndani ya Simba na kushusha presha kwenye eneo hilo ambalo analifanyia kazi. Ni Fabrince Ngoma chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha yupo na kikosi kamili kwa ajili ya kuendelea na majukumu yake
Je ni Nigeria au Ivory Coast siku ya Jumapili fainali ya AFCON?. Hatimaye sasa mbivu na mbichi kufahamika siku hiyo ambapo timu hizo mbili zitakuwa zikiwania ushindi wa Kombe hilo kubwa Barani AFRIKA. Jumapili ndipo Fainali ya michuano hii ya AFCON 2023 itatamatika kwa kushuhudia fainali kali kati ya Nigeria dhidi ya Ivory Coast ambao…
YULEYULE shujaa kwenye mchezo uliopita dhidi ya Dodoma Jiji, Mudathir Yahya leo tena kafunga bao la ushindi dhidi ya Mashujaa. Dakika ya 85 zikiwa zimesalia dakika tano mpira kugota mwisho akafunga bao la ushindi na kuipa pointi tatu Yanga inayofikisha pointi 37 ikiwa namba moja kwenye msimamo. Kipindi cha pili Mashujaa wamepata bao la kuweka…
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye bonanza maalumu la waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari nchini “TASWA Media Day Bonanza 2024”. Bonanza hilo maalumu linatarajiwa kufanyika Februari 10, 2024 Msasani Beach Club, Dar. Tukio hilo linatarajiwa kuanza saa 3:00 asubuhi, litahusisha pia uzinduzi wa Tuzo za Wanamichezo Bora wa…
KWENYE mechi ngumu ambazo wapinzani wa Yanga walikuwa wakicheza kwa kujilinda zaidi, kiungo Mudathir Yahya alikuwa ni mkali wa kutibua mipango hiyo na kuipa timu hiyo pointi tatu mazima Uwanja wa Azam Complex. Ikumbukwe kwamba Yanga ilipata sare yake ya kwanza msimu wa 2023/23 Februari 2 ubao wa Uwanja wa Kaitaba uliposoma Kagera Sugar 0-0…
Ni moja kati ya sehemu ambayo ukiichagua haiwezi kukuangusha, Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kwa sababu kila kukicha imekuwa ni sehemu ya tumaini langu na lako, bonasi na ofa mbalimbali za promosheni vinakusubiri kila kukicha. Mwezi huu wa wapenda nao unaweza kumfurahisha mwenza wako, mpenzi au mzazi wako hata rafiki yako kwa sapraizi kibao, haiwezekani kama…