
MSIMU HUU WA SIKUKUU MAGIFTI KIBAO MERIDIANBET KASINO
Ilikuwa ni asubuhi moja ya Jumatano kijana mmoja kutoka familia duni aliamka mapema sana kisha akaanza kujiandaa kwenda shule, kwakuwa alikuwa anaishi kwenye hali ya ufukara na umaskini hakukata tamaa bali aliongeza bidi na juhudi katika masomo yake na shughuli za kilimo kila baada akirudi shule na siku nyingine ilimlazimu kijana huyo kuacha kwenda shule…