
OKRA KAMILI GADO, KUANZIA HAPA
BAADA ya kupata maumivu kwenye mchezo wake wa kwanza akiwa na uzi wa Yanga, hali yake kwa sasa inaendelea vizuri kwa Augustine Okra akitarajiwa kuwa kwenye kikosi cha nusu fainali ama fainali kama watafika lakini atakosekana leo Januari 7. Okra ambaye ni ingizo jipya alipata maumivu kwenye mchezo wake wa kwanza ilikuwa dhidi ya KVZ…