
JEMBE JIPYA LA SIMBA LIMEANZA KAZI NAMNA HII
MSENEGAL Bababacar Sarr kiungo mpya wa Simba ameanza balaa lake ndani ya Mapinduzi 2024 kwa kuonyesha kile kilichopo kwenye miguu yake. Nyota huyo anayetajwa kuwa na uwezo wa kucheza nafasi zaidi ya mbili uwanjani ikiwa ni kiungo mkabaji na kiungo wa kata alitambulishwa rasmi Januari 6 kujiunga na Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Abdelhack Benchikha….