Misri 1-0 Afrika Kusini, Mo Salah afunga goli la ushindi AFCON 2025
TIMU ya taifa ya Misri inakuwa ya kwanza kutinga katika hatua ya mtoano baada ya kupata ushindi wa goli 1-0 Afrika Kusini. Kwenye mchezo wa hatua ya makundi uliochezwa nchini Morocco kwa kundi B pointi tatu zimebebwa na Misri. Goli pekee la Mohamed Salah kwa mkwaju wa penalti dakika ya 45 limeipa ushindi Misri. Misri…